MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MASHUJAA WA MAU MAU WAIPELEKA UINGEREZA MAHAKAMANI

Mahakama nchini Uingereza imeamua kuwa mashujaa wa Mau Mau walioishtaki serikali hiyo kwa mateso na dhulma wakati wa vita vya Mau Mau, wanaweza kuendelea na kesi ya kuitaka nchi hiyo kuwalipa fidia.

Jaji Richard McCombe, alisema kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuonyesha mateso yalitokea kwani serikali ya Uingereza wakati huo ilikuwa makini sana katika kuweka rekodi za yaliyotokea
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment