MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BIFU YA RICK ROSS NA YOUNG JEEZY, IMEKWISHA…..



 Y1
Ile Bifu kati ya Rick Ross na Young Jeezy, imekwisha kwasasa, bifu hiyo ilianza pale Young Jeezy alipofanya Freestyle ya kuidisi B.M.F, iliyochini ya Rick Ross, mnamo mwaka 2010, ingawaje Jeezy alikanusha kuwa ni dis lakini kwa R ROSS ilikuwa ni dis yakutosha kabisa.


Kwenye BET Hip-Hop Awards mwaka 2012 pia iliripotiwa wawili hawa kuleteana vagi backstage na kwenye parking mpaka polisi wakaingilia kati.

Screen Shot 2014-01-25 at 9.14.52 AM
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment