MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JAGUAR AMEPATA MKATABA MPYA NA KAMPUNI YA MTech, ITAKAYOSAMBAZA KAZI ZAKE AFRIKA .



 Jaguar aendelea kupepea, asaini mkataba na kampuni ya MTech itakayosambaza kazi zake Afrika
Msanii kutoka 254, Jaguar, amesaini mkataba mpya na kampuni ya MTech, ambayo itakuwa ikisambaza kazi zake zote barani Afrika.


Kutokana na taarifa kutoka kwa Menejiment ya msanii huyo, imesema kuwa Jaguar, alikuwa anataka kuitanua Fan Base yake barani Afrika, hasa Afrika Magharibi na Kusini, kutokana na kuwa kampuni hiyo ni kutoka nchi hizo basi ilikuwa ni wakati sahihi kwa Jaguar kusaini mkataba huo.

Mara baada ya kusaini mkataba huo sasa Jaguar anatarajia kufanya Ngoma mpya na msanii wa Nigeria, Ice Prince.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment