MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Drake, Wizkid na Diamond wameshinda tuzo za Net People’s Choice Awards 2016

Net People’s Choice Awards ni tuzo ambazo zinaandaliwa kwa ajili ya watu tasnia mbalimbali waliyofanya vizuri kwa mwaka husika katika upande wa burudani, washindi wanapatikana kwa utafiti wa data zilizopatikana kwa mwaka husika.
Tuzo hizo ambazo zinaandaliwa Nigeria washindi wametangazwa tu pasipo uwepo wa sherehe za utoaji wa tuzo hizo, ila wote waliyotangazwa washindi watapatiwa vyeti kutambua mchango wao kwa mwaka 2016.
List ya washindi wa tuzo za Net People’s Choice Awards
  • Most Searched Musician (Female): Tiwa Savage
1-net-honourstiwa-savage
  • Most Searched Musician (Male): Wizkid
15-net-honours-wizkid-2
  • Most Popular Musician: Wizkid
4-net-honours-wizkid-2
  • Most Popular Couple: Teebillz na Tiwa Savage12-net-honours-couple
  • Most Searched Personality Across Africa: Diamond Platnumz
net-honours-diamond-platnumz
  • Most Searched Comedian: Basketmouth
2-net-honours-basket-mouth2
  • Most Popular Comedian: Basketmouth
6-net-honours-basket-mouth
  • Most Popular Footballer: Mikel Obi
11-net-honours-mikel
  • Most Popular Celeb (Global): Drake
7-net-honours-drake
VIA : MILARDAYO
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment