MFALME WA HIP HOP ANAYETABILI KIFO CHA HIP HOP.
NAS ESCOBA.
Msomaji wa vitabu vya Qur an, bibilia na historia ya mwAfrika.
Mwandishi wa vitabu vya misingi ya ya hip hop.
UNAPOZUNGUMZIAhip hop na historia yake ni vigumu sana kutenganisha na mfalme wa muziki
huo,NAS ESCOBA.
mwanamuziki huyo alikatisha masoma yake na kuanza kupekua asili ya muziki huo na kugundua -
asili yake kuwa ni kutoka AFRIKA .
mnamo tarehe2/10/2008 aliibuka na kusema kuwa muziki huo hivi sasa unakufa baada ya kupoteza muelekeo-
wake kwa kuvamiwa na marapa mabishoo na maana yake ni mademu.
NAS jina lake kamili ni NASIR lenye asili ya kiarabu linalomaanisha MSAIDIZI NA MLINZI alizaliwa katika jiji la-
Broklyn,Marekan.
Baba yake OLU DARA, alikuwa mpuliza tarumbeta katika bend ya ya muziki wa JAZZ na mama,ANN JONES-
ambaye alikuwa ni muhudumu wa posta.
Mwaka 1994 aliachia albamu yaeke iliyo tamba kwa jina la lllmatic ambayo ilifaanikiwa kupewa tunzo ya -
kudumu ya hesima ya kihistoria ya Hip hop
Bila shaka tunapozungumzia hip hop kwa Tanzania basi ni lazima tuwatazame wasanii kama FID Q,KIKOSI,
jOHMAKIN kwa kulifahamu hilo basi hawa ndiyo walio pewa big up na msanii huyo wa miondoko ya HIP HOP-
nchini Marekan.
BY. MWERA.R.M
USIKOSE KUSOMA KALI KULIKO ZA KIJANJA ZAIDI
Namaliza kwa kusema vuta sigara uvutavyo lakini moshi hautokei masikioni kamwee.
hii ni funzo kwa wasanii wa bongo wasio penda kusoma vitabu vya dini zao
ReplyDelete