kikubwa ni kwamba watanzania wanataka kujua vigezo vinavyo tumika kuchagua MAWAZIRI nchini
maana tulio waamini wanajipendelea hiyo keki ya Taifa peke yao, MIZENGO PINDA INUSURU
nchi kwa maamuzi magumu na yabusara kwa uma, alikazarika Rais kikwete hebu toa mfano kwa
hawa mafisadi maana kila mtu anajua kuwa tunaibiwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete, Makamu wake Dk. Mohamed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maali Seif Sharif, Jaji Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhan, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Spika wa Bunge, Anna Makinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema na Katibu Mkuu, Philemin Luhanjo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ili kulitumikia taifa kwa haki
sawa kwa wote matajiri na masikini, Sasa vip muheshimiwa mkuu wa wizara zote sasa mbona
ufisadi umekithili kwa mawaziri waliopewa dhamana ya kutetea wanyonge, MIZENGO UKO WAPI?
RAIS JAKAYA KIKWETE hapo vipi ?
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment