MIAKA 48 YA MUUNGANO
NA CHANGAMOTO KIBAO
Watoto wa haraiki wakiwa katika maumbo mbali mbali katika kusherehesha
sherehe za miaka 48 ya muunganokatika uwanja wa Uhuru jijini Dar es sa
laam.
sherehe za miaka 48 ya muunganokatika uwanja wa Uhuru jijini Dar es sa
laam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapungia mkono wananchi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba wakati alipowasili katika uwanja wa
Uhuru kuongoza sherehe za Muungano zilizofanyika leo jijini Dar es salaam.
Sherehe za kuadhimisha Miaka 48 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibarkatika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo Tarehe 26/04/2012,kila mwaka
Tanzania ufanya sherehe hizi kwa kukumbuka siku nchi hizi mbili kati ya
Tanganyika na Zanzibar zilivyo ungana na kuunda taifa la TANZANIA.
Baadhi ya Viongozi wa Kiserikali wakiwa wamesimama kwa
ukakamavu katika sherehe za miaka 48 ya muungano.
Baadhi ya Viongozi wa Kiserikali wakiwa pamoja na aliyekuwa
mke wa BABA wa taifa MAMA MARIA NYERERE.
Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita na kutoa heshima mbele ya
jukwaa
kuu kwa mwendo wa KASI
Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita na kutoa heshima mbele ya jukwaa
kuu kwa mwendo wa pole na haraka, wakati wa maadhimisho ya sherehe hizo
leo.
Watoto wa ALAIKI
wakionyesha maumbo mbalimbali wakati wa sherehe
hizo leo.
Vikundi vya ngoma za hasili na bendi zikitumbuiza katika sherehe za muungano wa Nchi mbili kati ya Tanganyika na Zanzibar katika kiwanja cha Uhurujijini DSM. |
0 maoni:
Post a Comment