RAIS KIKWETE AKIWASALIMIA BAAZI YA WAIGIZAJI KATIKA MSIBA
WA MAREHEMU KANUMBA , SINZA VATIKANI DSM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.
RAIS akiandika kitabu cha rambirambi
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa. Rais Kikwete akiwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alipofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais Kikwete akiaga waombolezaji nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho. Rais Kikwete akiongea na wanahabari nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 AKIWA WAHANDISHI WA HABARI
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment