MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
PATA VICHEKeSHO  VYA KUVUNJA MBAVU LEO
Mume na mke waligombana  wakiwa safarini  ,
Njiani  wakakutana na nyani  na  nguruwe.
Mume kwa kebehi akamuuliza mkewe 
Hawa  ni  ngungu  zako?
Mke akajibu, Ndiyo, Hawa  ni wakwe zangu.
Haha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha  mbavu zangu mie

Mfalme aliwaita watu kijijini kwake,akasema
Shujaa atakaye weza kuogelea kwenye hili bwawa
La mamba nampa binti yangu, mara akasikia pwaaaaaa!
Jamaa kajitosa kaogelea mpaka upande wa pili.
Mfalme akasema nitakupa binti yangu na mali nyingi sana.
Jamaa akasema sitaki binti wala mali namtaka mtu aliyenisuka
Kwenye bwawa atanitambua leo.

Babu alimuambia mjukuu wake jifiche umetoroka shule
Malimu wako anakuja.
Mjukuu akajibu, jifiche wewe kwa sababu nilimuaga kuwa
Umekufa .
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment