MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

UTANASHATI SEHEMU YA KAZI
Tunaposema utanashati tunamaanisha ni hali ya mtu
Kujithamini katika sehemu zake zote zamwili namavazi
Pamoja na sehemu inayo kuingizia kipatounatakiwa kuijali.
Kuna baadti ya sekta wengi wao wamejisahau kwa mfano
MAKONDA waDaladala[Matatu]wamekua hawajijali
Kuanzia mavazi mpaka vinywa vyao.
Achilia mbali MAKONDA pia MAMA LISHE nao wamekuwa
Baadhi yao ni Wachafu kuanzia mavazi mpaka vyakula vyao
Alkadhalika  Madereva wa BODABODA nao ni wachafu mpaka
Wananuka ila ni baadhi yao na si wote .
Hali hii inapelekea watu wengi kuzizarau kazihizi ingawaje nazo
Ni kama kazi zengine zinazoleta tija kwa Taifacha msingi ni
Kujitambua na kuuthamini mchango wakokwa jamii
Wengi wenu mnayashika maisha ya watu wengi kwa mfano
Mama lishe ,makonda na madereva wa daradara.
Haya kazi kwenu kusuka au kunyoa?
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment