MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

                 Ushauri
Bwana huyu atanioa kweli?

Nimetokea kupendana na kijana mmoja ambaye 
ana mke na mtoto.
Uhusiano wetu umeshadumu kwa miaka miwili sasa, 
lakini nikimuuliza hatima ya uhusiano wetu anakuwa 
mkali na wala hataki kueleza msiamo wake kwangu. 
Naomba ushauri wako Uncle.

Jibu: Kwa jinsi anavyokupa majibu mpenzi wako ni 
dalili tosha kujua kwamba, anakupotezea muda. 
Unamuulizia hatima yako, atakujibu nini wakati
 yeye tayari ana mke na mtoto.

Fungua ubongo, tafakari na uachane na mume wa mtu. 
Kumbuka unachofanya ni kuiba mali za watu, mwenyewe 
akijua itakuwa balaa. Amini, omba kwa Mungu utapata 
mwingine asiyekuwa na vikwazo maana wanaume wapo
 wengi ambao hawajaoa na wanatafuta wake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment