MMAREKANI AKIRI NJAMA YA KUSAIDIA AL-SHABAB
Mmarekani aliyetuumiwa kwa kujaribu kujiunga na
Kundi lenye msimsmo mkali la kiislam la al shabab
Nchini Somalia amekiri mashtaka yake kwenye mahakamani
Marekani,
Shaker masri 28 alikamatwa mwezi wa 8/2010 akijiandaa
Kusafiri kwenda Somalia kujiunga na kundi hilo kwa mujibu
Wa mwendesha mashtaka wan chin marekani
0 maoni:
Post a Comment