MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Baada ya siku moja serikali kulifungia gazeti la MWANAALlSI
Kampuni hiyo imeitaka serikali iondoe amri hiyo ya kulifungia
Gazeti hilo,akizungumza na vyombo vya habari mkurugenzi wa kampuni ya hali halisi bw Saed kubenea ameitaka serikali kufuta amri hiyo ili waweze kuendelea na shughuli zao kama kawaida.Kubenea amesema kuwa kusimamishwa kwa gazeti hilo kutawaathiri kiuchumi
Jijini Dar es salaam leo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment