MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewataka watu kuepuka kugusana moja kwa moja baada ya virusi hatari vya Ebola kuenea katika mji mkuu Kampala.


Watu kumi na wanne wamekufa akiwemo mmoja mjini Kampala, tangu kuzuka kwa ugonjwa huo magharibi mwa Uganda wiki tatu zilizopita, alisema katika taarifa maalum kwa Taifa.
Ebola ni moja ya magonjwa hatari duniani.
Unaenea kwa kugusana na unaua mpaka 90% ya watu walioambukizwa.
Bw Museveni alisema maafisa wa afya wanajaribu kufuatilia kila mmoja ambaye ana waathirika ili kwamba waweze kuwekewa Karantini.
Watu hawana budi kuepuka kuepeana mikono, kubusiana au kufanya mapenzi kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo, aliongeza.
Bw Museveni alisema ndugu na amrafiki wasimzike mtu yeyote anayehisiwa kuwa amekufa kwa Ebola.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment