Biashara ya dawa haramu yazidi G. Bissau
Wanajeshi
wa Guinea Bissau, UN yaonya juu ya dawa za kulevya
Baraza
la Usalama la Umoja wa Mataifa limeonyesha wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa
biashara ya dawa za kulevya Guinea-Bissau tangu mapinduzi yatokee mwezi April.
Limetaka
viongozi nchini humo kurejesha utawaa wa kikatiba.
0 maoni:
Post a Comment