WALIMU WAKUBALI MGOMO,SERIKALI YAHAHA YAENDA MAHAKAMANI.
Hatimaye asilimia 95 ya walimu wameunga mkono mgomo unaotarajiwa
kuanza kesho.akizungumza na mweraamazing.blogspot.com katibu
mtendaji wa chama cha walimu Tanzania , Ezekel Oluch amesema
tayari Rais wa chama hicho Gratius Mukoba ametoa saa 48 kwa serikali
kwa mujibu wa sheria.
Aidha amesema serikali imeenda mahakama kuu kitengo cha kazi lakini
Kesho hiyo imeahrishwa mpaka jumanne ijayo .
0 maoni:
Post a Comment