WATU WANAKUFA SPIKA ANARETA SIASA.
Mara baada ya tukio kutokea la kuzama kwa meli iliyobeba WATANZANIA
Wengi ikiwa pamoja na wageni kutoka nje ya nchi, wabunge walimuomba spika
Aghairishe shughuri za bunge ili waende kunako tukio hilo la kuzama kwa meli.
Lakini spika halikataa na kusababisha wabunge kutoka mmoja badara ya mwengine
Kutoka ndani ya bunge hilo na kumuacha spika na baadhi ya wabunge , baada ya spika
Kuona hali hiyo aiamuru wabunge wote kwenda sehemu ya tukio
0 maoni:
Post a Comment