KAMPUNI YA TELKOM YAPINGWA FAINI
Kampuni rasmi ya mawasiliano ya simu nchini Afrika kusini
Telekom imetozwa faini ya dola milioni hamsini kwa
Kuwadhulumu washindani wake kwa kutumia ukiritimba
Wake.
Serikali iligundua kuwa kampuni hiyo ilizitoza pesa nyingi
Sana kampuni washindani wake kwa huduma ya internet
0 maoni:
Post a Comment