AZAM FC YACHAPWA NA MNYAMA SIMBA
Vijana wa Msimbazi Simba yaishushia Azam kipingo
cha mabao 3 kwa 2 katika mchezo uliochezwa katika
dimba la uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
mchezo ulikuwa wa kukata kwa shoka kwa timu zote mblili
na mwishowe wekundu wa msimbazi kujichakulia point 3 na
kuwaacha wana tamtam katika majonzi.
Pia vijana wa Jangwani nao wamejikuta wakiondoka na point
tatu katika mchezo uliochezwa kati ya yanga na Jkt holjoro na
kuhitimishwa kwa bao 1-o


0 maoni:
Post a Comment