PATA PICHA NZURI ZA MWAKA 2013
|
na sisi hatupo nyuma, mataani kama kawa mwaka 2012 |
|
dah kweli mambo yanakuwa pouwa sana kwa kutazama picha nzuri |
|
Tunaweza sana pia tumejipanga vizuri mwaka 2013 |
|
tunaripua mafataki kwa raha zetu jamani eeeeeeeee 2013 mpango mzima |
|
dah bado dakika chache sana kuukaribisha mwaka 2013 |
|
karibu sana 2013 , tunaomba tuwe wenye mafanikio na kufanya ibada sana |
|
nasisi watoto leo hatulali mpaka saa 12:00 |
|
leo miji yote dunia itakuwa hivi hasa hapa kwetu DSM, |
|
mambo ndivy yalivyo , mwaka 2012 kwaeli karibu 2013 |
|
picha nzuri sana kwa mwaka 2013, je umetimiza ya mwaka 2012 kabla ya kuanza mwaka mpya
|
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment