MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
KIKOSI CHA VIJANA WANAOHAMASISHA UFANYWAJI WA MAZOEZI KWA AFYA

DSC_0809 Mbunge wa jimbo la Kinondoni Iddi Azzani, akiwapa mazoezi vijana wa Klabu Jogging 12 za maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam  wakati alipoalikwa kushiriki Bonanza la kumaliza mwaka lililoandaliwa na Kawe Jogging Klabu na kufanyika leo jijini Dar es Salaam. Kabla ya bonanza hilo kulikuwa na mazoezi ya kukimbia umbali wa Kilometa nana kutoka Kawe kupitia Lugalo hadi Mbezi Beach na kurejea kwa kupita barabara ya Bagamoyo ya zamani hadi.

 DSC_0694 Vijana wa jiji la Dar es Salaam kutoka kwenye Klabu za Jogging zipatazo 12 wakifanya mazoezi ya kukimbia mapema leo asubuhi jijini Dar es Salaam Kabla ya kuanza kwa Bonanza la kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha 2013 lililoandaliwa na Klabu ya Jogging ya Kawe jijini humo.

DSC_0670 Pamoja na kuwepo kwa mvua vijana hao hawakuacha kufanya mazoezi.

DSC_0863 Iddi Azzani Akizindua bonanza hilo kwa kupiga penati golini.
DSC_0894 Timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya Klabu ya Jogging ya Barafu Magomeni jijini Dar es Salaam ikivutwa na Timu ya Klabu ya Jogging ya Kawe na kuondolewa.

DSC_0823 Katibu wa Kawe Jogging Klabu (Mdau) Razalo Ngimba (katikati) akiwa na Refaree maarufu nchini Othmani kazi (kulia) wakati wa mazoezi kabla ya bonanza kuanza.

DSC_0906 Iddi Azzani akiongoza timuyake ya Klabu ya Jogging ya Barafu ya Magomeni na kuibuka kidedea.

SPECIAL THANKS TO WWW.RAHA ZA PWANI.BLOGSPOT.COM
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment