Rais wa kwanza nchini Afrika
kusini Nelson Mandela,
Ameruhusiwa kwenda nyumbani
mara baada ya kutoka
Hospital mjini Petoria.
Rais wa kwanza nchin Afrika kusini |
Rais huyo wa wazamani wa
taifa hilo
ataendelea kupata
Nafuu nyumbani kwake, taarifa
hizo zimetolewa na ikulu
Nchini humo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka
kwa msemaji wa serikali
Zinasema kuwa mzee Mandela
bado hajapona na ataendelea
Kupewa matibabu nyumbani
kwake Johannesburg .
Rais Jacob Zuma na baadhi ya
viongozi wa serikali walimtembelea
Siku ya x-mas na kusema kuwa
anaendelea vizuri.
0 maoni:
Post a Comment