WAKRISTU WAADHIMISHA SIKUKU YA X-MAS
DUNIANI
Wakristo kote duniani hii leo
wanaadhimisha siku kuu ya Krismasi, siku ambayo wanakumbuka kuzaliwa kwa Yesu
Kristu takribani miaka 2000 iliyopita mjini Bethlehem.
![]() |
| Picha inayomuonesha papa benedict akiongoza misa ya x mas |
Mjini Bethlehem
kwenyewe, wakaazi wa mji huo waliadhimisha siku hiyo katika kanisa na Nativity
lililojengwa miaka elfu moja mia saba iliyopita, eneo ambalo linaaminika ndiko
Yesu alikozaliwa.

0 maoni:
Post a Comment