WASOMALIA 18 WAFARIKI DUNIA
Balozi wa Somalia nchini
LIBYA Bwana Abdikani Mohamed
Waeys Amesema ana taarifa ya
vifo vya raia 18, vilivyotokea
Kutokana na ajali ya lori
nchini Libya .
Wasomali wakijaribu kuvuka bahari kuingia misri |
Wasomalia hao wanaotajwa kuwa
wahamiaji haramu, 23 wameripotiwa
Huku wengine wakiwa katika
hali mbaya.
Balozi amesema kuwa lori hilo lilikuwa limebeba
mifuko ya saruji katika
Gari hilo
ndimo walimojificha wasomali hao, lori hilo
lilipinduka na
Kusababisha vifo vya watu 18.
idadi ya watu hao wenye uraiya wa
Pia alisema kuwa idadi ya
vifo vinavyotokea kwa wasomali ni kubwa
Kutokana na kujaribu kuvuka
baharini imeongezeka.
0 maoni:
Post a Comment