AU YAZIDIWA MALI YATAKA
MSAADA NATO
Mwenyekiti wa muungano wa
Afrika, Bw- Thomas Boni
Yayi, ametoa wito wa kutuma
vikosi kusaidia wanajeshi
Wa kupambana na vikosi vya
wapiganaji nchini Mali .
Wapiganaji walioasi nchi hiyo
wameliteka eneo la kaskazini
Mwa nchi hiyo.
Katika mzozo huo unaoendelea
nchini mali , NATO inatakiwa
kuingilia kati kusaidia taifa hilo kama ilivyofanya kwa mataifa
Ya uarabuni, hayo yalisemwa
na Thomas B. Yayi, lakini
Harakati hizo zinatakiwa
kuongozwa na kikosi cha Afrika
0 maoni:
Post a Comment