MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TIRIRIKA MAWE
Kama kawaida katika safu hii ya Tiririka mawe, kila siku
Tunakuwa na maoni kuusu msanii, leo wadau wamemtupia
Macho MR BLUE, je wajua walikuwa wanamsemaje?
Wengine walisema BLUE amehunda na wengine wanakataa
Pata yao kasha na wewe yako.

NAITWA: MENRAD,
Kwa upande wangu siwezi kusema kama MR BLUE amepotea
Katika Game coz bado ni mapema sana, ila watu wanaweza
Kusema hivyo kutokana na nyimbo yake ya lose control, kama
Sijakosea sana , haikufanya poa, ila acha tumpe muda zaidi.
……………………………………………
NAITWA: H, MKONGWA,
Anayesema BLUE kapotea hakosei, ila aseme kivipi, BLUE
Ni msanii mwenye uwezo binafsi na siku zote yupo kichwani
Mwa waTanzania wapenda burudani, ni hayo tu.
……………………………………………
NAITWA: TRAVELER,
Mimi naoma MR BLUE hajapotea coz sasa hivi anangoma kali
Na inafanya poa, so kwangu naona bado ni msanii mkali nab ado
Anafanya poa
…………………………………………….
NAITWA: MARIJANI,
Yap yap 100, MR BLUE, kwanza namkubali na true amekaza
Long time kwenye game na kwa mtazamo wangu si kuwa
Amechunda bali muziki ni game na every time watu wanakuja
Na kupotea ila sababu ya MR BLUE,kuchunda ni kutokana na k
Kukosa producer aneyemsoma kama marehemu Roy, huo ni
Mtazamo wangu.
…………………………………………….
NAITWA: D,WINS
BLUE hajapotea yupo ila kaamua kuweka pozi kidogo
Na baadae ataendelea, kwani siyo lazima kila mwenzi
Au mwaka msanii atoe nyimbo au Albam.

 …………………………………………….
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment