MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TIRIRIKA MAWE
Kama kawaida leo katika Tiririka Mawe, tunaye mwnadada
Lady jay d, wadau wengi walikuwa na machache juu ya msanii
Huyu kio cha Jamii nchini Tanzania, haya ndiyo machache ya
Watanzania kuusu Lady j d.
NAITWA:  KIDO wa Yombo,
Kiukweli Lady jay D, hakuna anachoniboa, ili kikubwa ni
Anajielewa katika kazi zake, ni hayooooooo tu.
Mweraamazing mpango mzima.
………………………………….
NAITWA: MENRAD MULOKOZI a.k.a ROY.
Kuusiana na mwanadada Jay D, kwa upande wangu binafsi
Nitakuwa nadanganya kama nitasema ananiboa coz ni mmoja
Ya wanamuziki wakike wenye maendeleo na anajitambua kuwa
Anafanya nini, pia anafanya tofauti na waanii wengine wakike
Ni mtu anayetoa ushauri kwa wasanii wenzake , hana maringo
Wala ugmvi na wenzake, hivyo basi wasanii wa Tz wanatakiwa
Kuiga mfano wake.
………………………………………………
JINA: dah naitwa AMAR JAMAL
Kiukweli mimi kama mimi Jide hakuna kinachoniboa kwake
Kikubwa ni kukaza buti tu kwa kile anachokifanya tu.
……………………………………………….
JINA: EDITH MKWAMA wa MBEZI,
Kiukweli hakuna kinachoniboa kwake nampongeza kwa
Kushikilia game mpaka leo, aendelee kukaza buti.

…………………………………………………
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment