UFARANSA KUSAIDIA MALI
Rais wa ufaransa Francois
Hollanande, amesema nchi yake iko
Tayari kuisadia jeshi la Mali kupambana
na waasi wanaodhibiti
Upande wa Kaskazin mwa nchi
hiyo.
Amesema kuwa ataweza kujibu
haraka ombi kwa serikali yake
Kwa kutoa msada wa kijeshi
kwa nchi hiyo ili kustisha harakati
Za wapiganaji hao.
0 maoni:
Post a Comment