MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
BABA WA CHRIS BROWN
SIPENDI KUMUONA MWANGU NA RIHANNA KATIKA MAPENZI
Baba wa msanii Chris Brown amefunguka na kusema kuwa Rihanna si chaguo
Bora kwa mwanae CB,
Baba huyo aliyejulikana kwa jina la Clinton Brown, amefunguka na kusema kuwa
Hakuna mapenzi ya dhati kati ya wawili hao pia akasema kuwa penzi lao halitokuwa la muda mrefu, akaongeza na kusema kuwa hajapendezewa kwa kurudiana kwao aliendelea na kusema kuwa katika mapenzi ni lazima uwe na mtu sahihi katika mapenzi.
Clinton alisema kuwa angependa kumuona mwanae akiwa na mapenzi au kufunga ndoa na Jordin Sparks, ingawa ana umro mdogo lakni mawazo yake ni makubwa
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment