MANDELA ,
ATOKA HOSPITALI !!!!
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ameruhusiwa kutoka hospitali
ambako akitibiwa homa ya mapafu yaani pneumonia kwa siku kumi.
Serikali imetoa taarifa kusema kuwa hali ya Bwana Mandela, mwenye
umri wa miaka 94, imetengenea sana na ataendelea kutibiwa nyumbani.
0 maoni:
Post a Comment