KRIS KROSS
AMEPOTEZA MAISHA
Kris Kross, mwana Hip Hop , amefariki dunia kutokana na
Mchanganyiko wa madawa ya kulevya ya Cocaine na heroin
Ambayo yamesababisha kifo chake.
Kutokana na ripoti, inasema kuwa mama yake alitoa ripoti
Katika Hospital na madkari kuja kutazama wakagundua kuwa
Alikuwa tayari ameshapoteza maisha.
Msanii huyo amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka
34,
0 maoni:
Post a Comment