UBAGUZI DHIDI YA WAISLAM NCHINI UINGEREZA
Shirika la Uingereza la mchanganyiko
wa dini mbali-mbali linasema jamii zimeingiwa na uoga tangu kuchinjwa kwa
mwanajeshi wa Uingereza na Waislamu wenye siasa kali katika barabara ya mjini
London.
Shirika hilo, Faith Matters,
limesema mashambulio yameongezeka sana tangu kuuwawa kwa mwanajeshi huyo siku
ya Jumatano.
Linasema limearifiwa visa zaidi ya
162 vya ubaguzi dhidi ya Waislamu katika siku mbili - kutoka misikiti
kushambuliwa hadi matusi.
0 maoni:
Post a Comment