kimataifa
UPINZANI WALAANI UVAMIZI UGANDA
Mkuu wa majeshi wa zamani
nchini Uganda ambaye sasa ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for
democratic Change FDC Meja Generali Mustaafu Mugisha Muntu amelaani hatua ya
sasa ya serikali ya amiri jeshi mkuu wake wa zamani ya kuandama na kuzingira ofisi
za magazeti ya The Daily Monitor pamoja na Redpepper.
Akiongea na waandishi wa habari nchini
Uganda, Bwana Muntu alisema kuwa Rais Museveni anahofia kuwa udhibiti aliokuwa
nao kwa vyombo vya usalama na ulinzi umeanza kusambaratika na hivyo kumtia hofu
zaidi Museveni.
0 maoni:
Post a Comment