WAGONJWA WA KIAKILI WATOROKA HOSPITAL, KENYA
wagonjwa wa kiakili nchin Kenya |
Polisi wanawatafuta wagonjwa karibia arobaini waliotoroka kutoka hospitali ya watu wenye matatizo ya kiakili, mjini Nairobi ya Mathare. Wagonjwa hao wanasemekana waliwashinda nguvu walinzi wao na kutoroka.
0 maoni:
Post a Comment