MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BELLE 9, WATAYARISHAJI WA MUZIKI TANZANIA WANATAKIWA KUKAZA SANA

Msanii wa kizazi kipya Belle 9, amewataka watayarishaji wa muziki nchini kuanda kazi zao vizuri kwani kwa sasa wasanii wengi wa hapa nchini wanafanya kazi vizuri, hivyo watayarishaji watengeneze kazi kwa hadhi ya juu.


Hayo yamesemwa na Belle 9, katika mahojiano na Kiss Fm, pia amesema kuwa wasanii wengi kama vile AY, BEN POL, ALLY KIBA, Na wengineo wengi wamefanya jitihada ya kuupeleka mzikii huu mbele lakini wamekuwa wakiludishwa nyuma na waandaaji wa muziki huo hapa nchini kwetu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment