Msanii wa Hip Hop nchini Marekani, Ludacris,
anashutumiwa kwa kuiba nyimbo ya ,SEX ROOM, Hayo yamesemwa na Rapper Marvo, kutoka mjini Chicago, ambaye
anamshutumu Luda, na amemfungulia kesi
ya madai katika mahakama nchini humo.
Msanii huyo aliyejulikana kwa jina la Marvo,
anamshutumu Luda, kwa Idea iliyotumika
katika nyimbo ya SEX ROOM.
Morvo alisema kuwa msanii huyo ambaye ni Luda,
alibadilisha baadhi ya mistari katika nyimbo hiyo, ingawa alifanikiwa kubadili
baadhi ya mistari lakini nyimbo hiyo ilitumia maneno mengi kuyoka kwa Marvo,
katika mistari hiyo kuna kama huu wa ,welcome to my sex Room, na it’s a private
party.
Morvo amesema kuwa amechukizwa na kitendo hicho cha
watu kujinufahisha na kazi zake, hivyo anamshutumu Luda na Trey Songz, kwa
kutumia mistari hiyo bila ya ruhusa yake.
0 maoni:
Post a Comment