Mkutano wa chama cha Chadema wakumbwa na mlipuko wa Bomu, ambao
unasemekana umeuwa watu wa wili na majeruwi katika eneo la Soweto jijini
Arusha.
Viongozi wa juu wa chama hicho
Freeman Mbowe na Lema, waliendelea kuwepo katika tukio hilo na kutoa msaada kwa
walio patwa na majanga hayo.
Baadhi ya viongozi wa Chadema
walishikiliwa na Polisi kutokana na virugu kali zilizo jitokeza mara baada ya
polisi kutokea na wananchi kuwafukuza polisi hao, kitendo hicho kiliwalazimu
polisi kutumia Nguvu zaidi ili kutuliza fujo hizo.
Kumlazi, picha zifuatazo si
nzuri.
0 maoni:
Post a Comment