MAMA WA BRUNO MARS IS DIED.
Mama
wa msanii Bruno Mars amefariki hapo siku ya jumamosi akiwa naumri wa miaka 55,
kifo hicho kimetokea katika Hospitali ya The Queens Medical Center iliyopo
Honolulu,Hawaii.
Mars alikuwa na Tour ya ndani ya U.S siku za hapo
mbeleni mwenzi huu, lakini msanii huyo hajatoa tamko lolote kuhusu ratiba yake
kama inaweza kubadilika.
mungu ampe nguvu za kustahimili
ReplyDelete