MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KIIZA :BADO NIPO YANGA


Kikosi cha watoto wa Jangwani Yanga Afrika, wamefikia mwisho katika majadiliano na Hamisi Kiiza, baada ya pande mbili hizo kukubaliana kuongeza mkataba mpya na mshambuliaji huyo.
 Kiiza , anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili na kikosi hicho cha mabingwa wa ligi Kuu ya Tanzania Bara, haya ni maneno yake “"Tumefikiana na klabu yangu - sasa nitaongeza mkataba na kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga msimu ujao. Baada ya kumaliza taratibu zote za kusaini mkataba mpya nitarudi nyumbani Uganda mara moja kabla ya kurudi kuja kujiunga rasmi na wenzangu kwenye pre-season," Kiiza alisema.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment