MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MTOTO WA WHITNEY KUWEKA WAZI PENZI LAKE NA KAKA YAKE.


 MTOTO wa Whitney Houston, ametangaza uchumba na aliyekuwa Kaka yake wa hiyali, chanzo cha Habari kinasema kuwa wawili hao hawakuwa Ndugu wa damu bali Whitney, alimchukulia kijana huyo kama mwanae.
 Tokea kifo cha mama yake, Bobbi, aliandamwa na vyombo vya Habari kuwa msichana huyo anatembea na kaka yake,  kimempelekea kujitetea kuwa huyo akuwa kaka yake wa damu, bali waliishi naye kama ndugu tu. Aliongezea kuwa mama yake alishajua kuwa watakuja kuwa na mausiano ya kimapenzi na Gordon, ambaye ni kaka wa hiyali tu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment