50 Cent, aliingia mahakamani hapo jana katika kesi
inayomkabili msanii huyo kutokana na tuhuma za kumpiga mchumba wake ambaye ni
mama wa motto wake, sambamba na kufanya uwalibifu wa mali.
Msanii huyo anatakiwa kukaa mbali na mchumba wake
huyo kwa muda mrefu kutokana na amri ya mahakama hapo jana sambamba na
kukatazwa kumpigia simu au kumtumia Email, na hapaswi kumiliki silaha.
50, anadaiwa kualibu mali ya $ 7,100. Katika nyumba
yake iliyoko huko California, pia anatakiwa kurudi tena mahakamani sept, 4.
0 maoni:
Post a Comment