Msaniiwa Hip Hop nchini Chidi Benz, amefunguka
na kukiri mwenyewe kwa mdomo wake kupitia kipindi cha XXL Cha Clouds FM, kuwa
alikuwa anatumia madawa ya kulevya.
Pia alikwenda kutibiwa nchini Kenya na wala hakwenda
kutumia methodone, yeye alitibiwa kama wagonjwa wengine, lakini alitakiwa
kusaini katika fomu mahalumu kuwa amekubali kutumia dozi hiyo ya kumfanya
ahachane na madawa ya kulevya.
Chidi , alisema kuwa alianza kutumia Madawa miaka
mingi ilyopita, lakini ilikuwa ngumu kwa mtu kujua kwa sababu aliulinda mwili wake vizuri, muda mwengine
madawa yalimfanya awe na njaa sana, chuki pia kuona noma.
0 maoni:
Post a Comment