Kim Na Kanye, hawataki kuiyuza picha ya mtoto wao, tayari kuna
vyombo vingi vya habari zinavyotaka kununua picha hiyo, dau la watu waliotaka
kuinmunua picha hiyo ilifikia $ 3 mill,
lakini wameikata ofa hiyo.
Kanye na kim, walipewa idea ya kuiyuza picha ya mtoto
huyo na sehemu ya mapato wangepeleka kusaidia watoto waishiao kwenye hali
ngumu. Lakini hawakuwa tayari kwa ofa hiyo.
Pia bado wako katika mahamuzi ya mwisho juu ya picha
ya mtoto huyo, kama waitoe kwa mashabiki wake au kwa rafiki yake JayZ, jibu
kami halijapatikana.
0 maoni:
Post a Comment