Usher’s X wife, Tameka Raymond, amemfungulia
mashtaka Usher Raymond v, kwa Kusababisha Majanga KWA Mtoto wao ambaye amelazwa
katika chumba cha wagonjwa maututi ICU.
Tameka, amemlahumu Usher, kwa kutomuwekea usimamizi
mzuri mototo wao katika eneo la swimming Pool, lilioko katika chumba hiyo,
Tameka alipoulizwa kuhusu watoto wao alifunguka na kusema “says it's typical that Usher delegates
responsibility for their kids ... because he's out of town 85% of the time
every month.
Aliendelea kwa kusema kuwa Usher had fired every caregiver who was on staff
when he was awarded primary custody ... and she's clearly saying the
replacements are not up to snuff.
Katika
jalada alilofungua Tameka, alibainisha mambo yafuatayo mara baada ya kutokea
kwa janga hilo Tameka wants decision-making power over the children's education,
healthcare, religion and extracurricular activities. Kutokana hayo yote mahakama bado
haijapanga siku ya kusoma madai hayo kwa msanii huyo.
0 maoni:
Post a Comment