Mke wa zamani wa Usher Raymond, amemfungulia
mashtaka X mume, Usher R. V, Kwa kusababisha majanga yaliyomfika mototo wao
hapo juzi, shitaka hilo ni kwamba kwanini amuache motto kwa wafanyakazi wakati
yeye kama Baba ndiye mwenye jukumu la kumtunza na si wafanya kazi wake.
Hayo yamesemwa na mama huyo kupitia mtandao wa TMZ,
Inafahamika kuwa wazazi ha wawili wanachukiana sana
hasa Tameka, ndiye anaye mchukia sana Usher R.V, kutokana na hali hiyo
mwanamama huyo yuko mbioni kumfungulia kesi mume wake wa zamani.
0 maoni:
Post a Comment