
Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania
Nay wa Mitego, anashiriki katika Nzumari Awards, na ameweza kuingia katika nomination mbili
kupitia Category mbili tofauti,
Nay
alisema kuwa anashindana na wasanii kama vile Diamond, Rich Mavoko, Ommy
Dimpoz, katika category ya msanii bora kutoka Tanzania na kipengele kingine ni
kile cha Wimbo bora wa Africa Mashariki, hapo alisema kuwa yuko na wasani kama
vile Mobina wa P unit na Badilisha wa Jose Chameleone.
0 maoni:
Post a Comment