MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BABY MADAHA “ NIPO KIMAPENZI NA MENEJA WANGU, TENA AMENIKOLEZA SANA”



 
Baby madaha, ameweka wazi kuwa yupo kwenye mausiano ya kimapenzi na meneja wake wa nchini Kenya yule wa Candy n Candy, Joe kariuki.

Baby , amesema kuwa hapo mwanzoni hawakuwa katika mausiano ya kimapenzi na meneja wake lakini kutokana na watu kuongelea kitu ambacho hakikuwepo ndicho kilichomfanya afanye kweli na meneja wake.

“kusema kweli huyu kaka kanikoleza jamani, japo watu wanachonga mengi lakini sitosikiliza maneno yao, kwa kuwa awali sikuwa na uhusiano naye ila porojo za watu zilipelekea kuchukua maamuzi hayo, natamani nahamie Kenya ili tuwe karibu wakati wote, hayo yalikuwa maneno ya Baby Madaha.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment