Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuph Mehboub Manji
ametangaza kutowania tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo
mwakani.
Amesema pamoja na taarifa hiyo kutolewa,bado ana muda
mwingine wa miezi saba wa kuhakikisha anaiacha Yanga katika hali nzuri kifedha
kwa kuzingatia mazungumzo kati ya uongozi wa Yanga na wadhamini pamoja na
shirikisho la soka chini 'TFF' kuhusu mkataba wa Azam TV.
0 maoni:
Post a Comment