MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

SHAA, NATAKA MWANAUME ASIYE PERFECT !!!!



 Exclusive: Shaa azitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa mmewe wa ndoa
Msanii wa muziki nchini Tanzania Shaa, wa Sugua Gaga, amefunguka kwa kusema na kutaja ni mwanaume gain amtakeye, kwa sifa alizozitaja.

“Kusema ukweli, kwa sababu me I’m not perfect, mimi sio malaika. Kwa hiyo ningependa kupata mtu ambaye mwenyewe..you know…sio perfect, na yeye mwenyewe anananii zake.” Amesema Shaa.

“Unajua wanawake wengi ukiwauliza watakwambia, mimi nataka mcheshi,  awe na hela, awe na mrefu, awe ana body, awe na gari, awe na hichi…I’m not saying ni kitu kibaya, ni kizuri. Lakini mimi napenda mtu ambaye yeye mwenyewe yuko down to earth kwa sababu ukweli ni hakuna mtu ambaye yuko kama malaika kwamba hakosei.”

Hayo yalikuwa ni maneno ya Shaa, mara baada ya kuulizwa na mtandao wa Timesfm, kwa maneno hayo yanaonesha kuwa ni kati ya wasanii na wanawake wachache wa mjini walio na mtazamo bora kati maisha ya kimapenzi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment