Vin Diesel, amefunguka na kuitaja tarehe ya kutoka kwa
Movie yao ya Fast nad Furious, aliendelea kwa kusema kuwa kulitokea jambo
ambalo lilipelekea Movie hiyo kuchelewa kutoka mara baada ya Paul Walker kupata
ajali ya Gari na kufariki dunia.
Lakini alijata rasmi tarehe ya utoka Movie hiyo
kupitia Mtandao wa Facebook
““The last scene we filmed together…
There was a unique sense of completion, of pride we
shared… in the film we were now completing… the magic captured… and, in just
how far we've come… Fast and Furious 7 will be released… April 10th 2015! P.s.
He'd want you to know first…,”
0 maoni:
Post a Comment